KISANGA

TECHNOLOGY

Pata Chumba au Nyumba ya Kupanga Kwa Urahisi

PangaSmart inawanisha wenye nyumba na wapangaji kwa haraka, usalama na urahisi bila madalali.

Kwanini Utumie PangaSmart?

Mfumo wa kisasa unaokupa uhuru wa kupanga na kuweka vyumba sokoni.

🖼️

Picha na Video

Tazama muonekano halisi wa chumba kwa picha na video fupi kabla ya kufanya maamuzi.

⚡

Booking ya Haraka

Tuma maombi ya kupanga chumba papo hapo na upate mrejesho wa haraka kupitia SMS.

🔑

Usimamizi wa Wenye Nyumba

Wenye nyumba wanaweza kusajili vyumba na kupokea maombi ya wapangaji kwa urahisi.